Ziwa Bunyonyi (yaani Mahali pa vindege wengi) ni ziwa dogo la Uganda lililopo kwenye kwenye kusini ya nchi hiyo, wilaya ya Kabale, karibu na mpaka wa Rwanda.[1]
Ziwa lina urefu wa kilomita 25 na upana wa kilomita 7. Eneo lake ni hektari 6100. Kuna visiwa 29.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa Bunyonyi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |