Ziwa Ziway | |
---|---|
![]() | |
![]() | |
Anwani ya kijiografia | 8°00′N 38°50′E / 8.000°N 38.833°E |
Nchi za beseni | Ethiopia |
Urefu | km 31 (mi 19) |
Upana | km 20 (mi 12) |
Eneo la maji | km2 440 (sq mi 170) |
Kina kikubwa | m 8.9 (ft 29) |
Kimo cha uso wa maji juu ya UB | m 1 636 (ft 5 367) |
Visiwa | 5 (Debre Sina, Galila, Bird Island, Tulu Gudo) |
Miji mikubwa ufukoni | Ziway |
Ziwa Ziway au Zway ni kati ya maziwa ya maji baridi ya Bonde la Ufa nchini Ethiopia. Liko kilometa 160 kusini kwa Addis Ababa[1], mita 1,636 [2][3] au 1,846[4] juu ya UB.
Ziwa linachangiwa na Mto Meki na Mto Katar, halafu linatokwa na mto Bulbar[5].
Eneo lake lote ni kilometa mraba 440, urefu ni kilometa 31 na upana kilometa 20. Kina chake hakizidi mita 9.
Mji wa Ziway uko pwani upande wa magharibi.
Ndani yake vinapatikana visiwa vya Debre Sina, Galila, Bird Island na Tulu Gudo, ambacho kina monasteri
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa Ziway kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |