Kagadi ni mji wa Uganda wenye wakazi takribani 22,813 (sensa ya mwaka 2014[1]). Ndio makao makuu ya wilaya ya Kagadi.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kagadi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |