Ramani kuonesha Wilaya ya Katakwi Uganda

Katakwi ni mji mkuu wa Wilaya ya Katakwi nchini Uganda. Idadi ya wakazi wake ni takriban 7,300.

Tazama pia


Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Katakwi