Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 31 Januari ni siku ya thelathini na moja ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 334 (335 katika miaka mirefu).
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Yohane Bosco, Vitorino, Vikta na wenzao, Metras, Siro na Yohane, Jiminyano wa Modena, Abrahamu wa Arbela, Julius wa Novara, Marsela wa Roma, Aidani wa Ferns, Valdo wa Evreux, Eusebi wa Viktorsberg, Fransisko Saveri Maria Bianchi, Augustino Pak Chongwon na wenzake n.k.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 31 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |