Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 5 Agosti ni siku ya 217 ya mwaka (ya 218 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 148.
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya kutabaruku Basilika kuu la Bikira Maria, na za watakatifu Memi wa Chalons, Paride wa Teano, Kasiani wa Autun, Nona, Emigdi, Oswadi wa Northumbria, Margerita wa San Severino n.k.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 5 Agosti kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |