Jul - Agosti - Sep
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 31 Agosti ni siku ya 243 ya mwaka (ya 244 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 122.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Yosefu wa Arimataya, Nikodemo, Aristide wa Athens, Paulino wa Trier, Aidani, Raimundo Nonnato n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Agosti 31
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 31 Agosti kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.