Basse-Terre | |||
| |||
Majiranukta: 16°00′00″N 61°44′00.02″W / 16.00000°N 61.7333389°W | |||
Nchi | Ufaransa | ||
---|---|---|---|
Mkoa | Guadeloupe | ||
Wilaya | Guadeloupe | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 11,534 |
Basse-Terre ni mji mkuu wa eneo la ng’ambo la Ufaransa (yajulikana kwa Kifaransa kama "département d'outre-mer") la Guadeloupe ambayo ni kisiwa kimoja cha ya katika Bahari ya Karibi. Mji wa Basse-Terre iko kusini-magharibi ya kisiwa cha Basse-Terre.
Mitaa ni: Agincourt (pia Saint-Claude), Bas-du-Bourg, Karmeli, Desmarais (pia Saint-Claude) Guillaud, Morne-Chaulet, Morne-à-Vaches (pia Saint-Claude), Little Paris , Guinea ndege, Rivière-des-Peres, Maillan La Rue-Saint-François, Sur-le Morne Versailles.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Basse-Terre (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |