Mt. Gregori II.

Gregori wa Agrigento (Agrigento, 559 - Agrigento, 630) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki huko Agrigento, Sicilia, leo nchini Italia kuanzia mwaka 590 hadi kifo chake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Novemba[1].

Anatajwa kama mwandishi wa vitabu vya Kigiriki juu ya Biblia.

Tazama pia

Tanbihi

  1. Martyrologium Romanum

Vyanzo

Marejeo

Marejeo mengine

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.