Hyderabad (Telugu: హైదరాబాద్ ) ni jina la kutaja mji mkuu wa jimbo la Andhra Pradesh huko nchini India. Huu ni miongoni mwa miji mikuu nchini ikiwa na eneo la square kilometre 650 (sq mi 250).[1] Jiji lina jumla ya wakazi wapatao 6,809,970 na wengineo zaidi ya 7,749,334 wanaoishi katika maeneo ya mji mkuu, na kuifanya Hyderabad kuwa mji wa nne duniani kwa wingi wa watu na mji wa sita kwa idadi ya wakazi wengi nchini India.[2]
|accessdate=
(help)
Angalia mengine kuhusu Hyderabad kwenye miradi mingine ya Wikimedia: | |
![]() |
Fafanuzi za Kiingereza kutoka Wiktionary |
![]() |
picha na media kutoka Commons |
![]() |
misaada ya kujisomea kwa Kiingereza kutoka Wikiversity |
![]() |
nukuu kutoka Wikiquote |
![]() |
matini za ushuhuda na vyanzo kutoka Wikisource |
![]() |
vitabu kutoka Wikibooks |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hyderabad kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |