Mchoro wa ikulu ya Venezia, mwisho wa karne ya 14.

Jamhuri ya Venice (kwa Kiitalia: Repubblica di Venezia) ilikuwa dola lenye asili katika mji wa Venezia huko Italia kaskazini. Ilidumu zaidi ya miaka 1000, kuanzia mwisho wa karne ya 7 hadi 1797, ikienea sehemu mbalimbali za Bahari ya Kati.

Marejeo

Chanzo kikuu

Vyanzo vingine

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Jamhuri ya Venice
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jamhuri ya Venice kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.