Kikaboverde (kwa Kiingerezaː Cape Verdean Creole) ni lugha ya funguvisiwa la Kabo Verde[1] inayotumiwa na watu 871,000 hivi[2].
Ni krioli iliyotokana zamani na Kireno (na lugha mbalimbali za Afrika Magharibi) na kuendelea kutumika hadi leo, kirefu kuliko Krioli nyingine yoyote[3].
|date=, |accessdate=
(help)
o [crioulo] de Cabo Verde [é] o mais antigo que se conheceCheck date values in:
|date=
(help)
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikaboverde kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |