Kikorsika kinapotumika.
Lahaja za Kikorsika.
Mahusiano ya lugha za Kirumi.

Kikorsika (Corsu au lingua corsa) ni mojawapo ya lugha za Kirumi inayotumika na watu wasiopungua 150,000, hasa katika visiwa vya bahari ya Tireni. Inafanana sana na Kiitalia, hasa lahaja ya mkoa wake wa Toscana[1], kiasi kwamba wengine wanakiona Kikorsika kuwa lahaja, si lugha ya pekee.

Jina linatokana na kisiwa cha Korsika ambapo ilikuwa lugha ya kawaida hadi karne ya 20, ilipozidiwa na Kifaransa kiasi kwamba inaelekea kufa[2]. Kumbe inaendelea vizuri zaidi kaskazini mwa kisiwa jirani, Sardegna (Italia).

Tanbihi

  1. Harris, Martin; Vincent, Nigel (1997). The Romance Languages. London: Routledge. ISBN 0-415-16417-6. 
  2. Moseley, Christopher (ed.). 2010. Atlas of the World's Languages in Danger, 3rd edn. Paris, UNESCO Publishing. Here is the online version

Marejeo

Viungo vya nje

Wikipedia
Wikipedia
Kikorsika ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Kikorsika
Search Wikiversity Wikiversity has learning materials about Kikorsika

Corsican travel guide kutoka Wikisafiri

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikorsika kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.