Kitemi (pia huitwa Kisonjo) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Watemi. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kitemi imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitemi iko katika kundi la E40.

Viungo vya nje

Marejeo

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitemi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.