Monika na mwanae Augustino.

Monika (Tagaste, Numidia, leo Algeria 332 - Ostia, kitongoji cha Roma, Italia, 387) alikuwa mwanamke wa kabila la Kiafrika la Waberberi na mke wa Patricius, afisa wa Dola la Roma[1].

Ni maarufu hasa kutokana na sifa alizomwagiwa na mwanae Agostino wa Hippo katika kitabu cha Maungamo (Confessiones).

Anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali ya Ukristo kama mtakatifu, hasa tarehe 27 Agosti[2] au 4 Mei.

Tazama pia

Tanbihi

  1. https://dacb.org/stories/algeria/monica/
  2. Martyrologium Romanum

Marejeo kwa Kiswahili

Marejeo mengine

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Monika
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.