Mito na maziwa ya Uganda.

Mto Katonga unapatikana nchini Uganda, ukiunganisha ziwa Nyanza na ziwa Dweru.

Siku hizi maji yake yanaelekea mashariki na kuchangia ziwa Nyanza[1]

Tanbihi

  1. Hughes, Hughes & Bernacsek (1992). "2.10 Uganda", A Directory of African Wetlands. IUCN/UNEP(WCMC), 265. ISBN 2-88032-949-3. Retrieved on 26 February 2014. 

Viungo vya nje

Coordinates: 00°12′N 30°50′E / 0.200°N 30.833°E / 0.200; 30.833