Mito na maziwa ya Uganda.

Mto Semliki (au: Semuliki) unapatikana nchini Uganda (wilaya ya Bundibugyo) ukitokea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Unaanza katika ziwa Edward na kuishia katika ziwa Albert.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Semliki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.