Ramani ya beseni la mto Abay, ambamo mto Muger unaonyeshwa chini kulia.

Mto Muger (pia: Muger) ni tawimto la mto Abay ambao unaungana nao katika majiranukta 9|55|07|N|37|55|50|E, katikati ya Ethiopia.

Kati ya mito inayouchangia kuna mto Labbu. Beseni lake lote lina eneo la kilometa mraba 8,188.[1]

Tazama pia

Tanbihi

  1. "Tana & Beles Integrated Water Resources Development: Project Appraisal Document (PAD), Vol.1", World Bank, 2 May 2008 (accessed 5 May 2009)
Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Muger kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.