Mt. Musiani Maria.

Musiani Maria, F.S.C. (jina la awali: Louis Wiaux; Mellet, Hainaut,20 Machi 1841 - Malonne, Namur, Ubelgiji, 30 Januari 1917) alikuwa bradha alitumia karibu maisha yake yote kulea kwa bidii vijana.

Alitangazwa mwenye heri na Papa Paulo VI tarehe 30 Oktoba 1977, halafu mtakatifu na Papa Yohane Paulo II tarehe 10 Desemba 1989.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Januari[1].

Tanbihi

[hariri | hariri chanzo]
  1. Martyrologium Romanum

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]