Pisa ni mji maarufu wa mkoa wa Toscana, Italia wenye wakazi 88,880 (31-12-2018).
Sehemu ya mji imo katika orodha ya urithi wa dunia wa UNESCO.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Pisa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |