“Stranger in Moscow” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya HIStory - Past, Present and Future, Book I | |||||
Imetolewa | 4 Novemba 1996 (dunia nzima) Agosti 1997 (US) | ||||
Muundo | CD single | ||||
Imerekodiwa | 1993 | ||||
Aina | R&B | ||||
Urefu | 5:44 (Album Version) 4:10 (Radio Edit) | ||||
Studio | Epic Records | ||||
Mtunzi | Michael Jackson | ||||
Mtayarishaji | Michael Jackson | ||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
|
"Stranger in Moscow" ni single ya tano na ya mwisho kutoka katika albamu ya Michael Jackson ya HIStory. Wimbo huu ulikuja kutolewa dunia nzima kunako mwezi wa Novemba katika mwaka wa 1996, lakini ukawa haujatolewa nchini Marekani hadi hapo ilipofika mwezi wa Agosti katika mwaka wa 1997. Wimbo huu ulitungwa na Jackson mnamo mwaka wa 1993, wakati wa kilele cha kashfa na shutuma za udhalilishaji wa watoto ambayo yaliyomkumba mnamo mwaka huo, akiwa kwenye ziara yake kule mjini Moscow. Katika wimbo huu, Jackson anaimba kwa huzuni mkubwa kabisa na kudai hadhi yake imemwacha mpweke, katengwa, kuvurugwa na kuchanganyikiwa kabisa.
Chati (1996) | Nafasi iliyoshika |
---|---|
Australia | 14 |
Austria | 7 |
Belgium (Vl) | 25 |
Belgium (Wa) | 21 |
Netherlands | 4 |
Finland | 14 |
France | 18 |
New Zealand | 6 [1] |
Italy | 8 |
Spain | 1 |
Sweden | 21 |
Swiss Singles Chart | 5[2] |
UK | 4 [3] |
U.S. Billboard Hot 100 | 91 [4] |
Chati (2009) | Nafasi iliyoshika |
Swiss Singles Chart | 75[2] |
UK Singles Chart | 91[5] |
U.S. Single
Austrian Single
((cite web))
: Italic or bold markup not allowed in: |publisher=
(help)
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Stranger in Moscow kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |