“Who Is It” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya Dangerous | |||||
Imetolewa | Agosti 1992 (Ulaya) Februari 1993 (U.S.) | ||||
Muundo | CD single | ||||
Imerekodiwa | 1990/1991 | ||||
Aina | R&B, New jack swing | ||||
Urefu | 6:34 | ||||
Studio | Epic Records | ||||
Mtunzi | Michael Jackson | ||||
Mtayarishaji | Michael Jackson Bill Bottrell | ||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
|
"Who Is It" ni wombo wa Michael Jackson kutoka katika albamu yake ya mwaka wa 1991, Dangerous. Wimbo huu, upo kama nyimbo zingine maarufu za Jackson, kuhusu fununu. Wimbo kumeshika nafasi ya #6 kwenye chati za U.S. R&B, na #14 kwenye chati za Billboard Hot 100 pale ilipotolewa. Wimbo huu Michael Jackson aliimba acappella (maneno bila vyombo vya muziki/biti/ala za muziki) wakati mahojiano ya mwaka wa 1993 na Oprah Winfrey, na ikapelekea Sony kutoa kama single kwa Marekani badala ya ile iliopangwa "Give In to Me".
Chati (1992) | Nafasi Iliyoshika |
---|---|
U.S. Billboard Hot 100 | 14 |
U.S. Billboard Hot Dance Club Play | 1 |
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs | 6 |
UK Singles Chart | 10 |
Australian Singles Chart | 34 |
Austrian Singles Chart | 5 |
French Singles Chart | 8 |
Norwegian Singles Chart | 10 |
Swedish Singles Chart | 24 |
Swiss Singles Chart | 14[1] |
Chati (2009) | Nafasi Iliyoshika |
Swiss Singles Chart | 49[1] |
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Who Is It kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |