Tupac Shakur | |
---|---|
Jina la kuzaliwa | Tupac Amaru Shakur |
Pia anajulikana kama | 2Pac, Pac, Makaveli, MC New York |
Amezaliwa | East Harlem, Manhattan New York City, New York, U.S. | Juni 16, 1971
Amekufa | 13 Septemba 1996 (umri 25) Las Vegas, Nevada, U.S. |
Kazi yake | Rapper, mwigizaji, mtayarishaji wa rekodi, mshairi, mwandishi-skrini, mwanaharakati, mtunzi |
Miaka ya kazi | 1988–1996 |
Studio | Death Row, Interscope |
Ameshirikiana na | Outlawz, Thug Life, Danny Boy, Digital Underground, Dr. Dre, Johnny "J",Ice Cube, Nate Dogg, The Notorious B.I.G., Snoop Dogg |
Wavuti | www.2Pac.com |
Tupac Amaru Shakur (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama 2Pac; mara nyingi aliitwa tu Pac, Makaveli na mwenyewe akajiita The Don Kiluminati; 16 Juni 1971 - 13 Septemba 1996) alikuwa mwigizaji, mwanaharakati wa haki za binadamu, na mwanamuziki maarufu wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Ni mmoja kati ya wasanii wa hip hop waliouza rekodi nyingi za muziki duniani.
Alikuwa mtoto wa Afeni Shakur, mwanachama wa chama cha Black Panther Party. Mama yake Tupac alitolewa jela mwezi mmoja kabla ya kumzaa Tupac. Tupac alikariki baada ya kupigwa risasi akiwa anaendesha gari mjini Las Vegas, Nevada, siku saba kabla ya kifo chake.
Tupac aliwahi kuishikilia Guinness World Record kwa kuwa na mauzo ya juu sana kwa msanii wa muziki wa rap/hip hop. Alipata mauzo takriban milioni 74 kwa hesabu ya dunia nzima na milioni 44 kwa mauzo ya Marekani pekee.
Mwaka | Albamu | Nafasi iliyoshika [1][2][3][4][5] |
Matunukio [6][7][8] | ||
---|---|---|---|---|---|
US | US R&B | US | CAN | ||
1991 | 2Pacalypse Now | 64 | 13 | Gold | |
1993 | Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z. | 24 | 4 | Platinum | |
1995 | Me Against the World | 1 | 1 | 2× Platinum | |
1996 | All Eyez on Me | 1 | 1 | 9× Platinum | Platinum |
1996 | The Don Killuminati: The 7 Day Theory | 1 | 1 | 4× Platinum | Gold |
Mwaka | Albamu | Nafasi iliyoshika [9][10][5] |
Certifications [6][6][8] | ||
---|---|---|---|---|---|
US | US R&B | US | CAN | ||
1997 | R U Still Down? (Remember Me) | 2 | 1 | 4× Platinum | |
2001 | Until the End of Time | 1 | 1 | 3× Platinum | 2× Platinum |
2002 | Better Dayz | 5 | 1 | 2× Platinum | 3× Platinum |
2004 | Loyal to the Game | 1 | 1 | Platinum | |
2006 | Pac's Life | 9 | 3 | ||
2010 | Shakurspeare[11] |
Mwaka | Jina la filamu | Jina alilotumia | Maelezo mengine |
---|---|---|---|
1991 | Nothing But Trouble | Himself | (Brief appearance) |
1992 | Juice | Bishop | First starring role |
1992 | Drexell's Class | Himself | Season 1: "Cruisin'" |
1993 | A Different World | Piccolo | Season 6: "Homie, Don't You Know Me?" |
1993 | Poetic Justice | Lucky | Co-starred with Janet Jackson |
1993 | In Living Color | Himself | Season 5: "Ike Turner and Hooch" |
1994 | Above the Rim | Birdie | Co-starred with Duane Martin |
1995 | Murder Was the Case: The Movie | Himself | (Uncredited) |
1996 | Bullet | Tank | Released one month after Shakur's death |
1997 | Gridlock'd | Ezekiel 'Spoon' Whitmore | Released several months after Shakur's death |
1997 | Gang Related | Detective Rodríguez | Shakur's last performance in a film |
2003 | Tupac: Resurrection | Himself | Official documentary film |
2008 | Live 2 Tell | Himself | Expected in 2008 |
2009 | Notorious | Himself (archive footage) | Portrayed by Anthony Mackie |
2009 | Untitled Tupac Shakur Biopic | Himself | (Announced)[12] |
![]() |
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tupac Shakur kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |