Ukatekumeni (kutoka neno la Kigiriki κατηχούμενος, katēchúmenos, yaani "mtu anayefundishwa", kwa Kiingereza "catechumen") ni kipindi cha malezi ya Kikristo ambacho kinalenga hasa kuandaa watu kwa ajili ya ubatizo.
Kadiri ya Mtaguso wa pili wa Vatikano, uliorudisha katika Kanisa Katoliki taratibu za karne za kwanza baada ya Kristo, ni kwamba, kisha kuchunguza na kunyosha sababu za uongofu wao, waliojaliwa mwanzo wa imani wapokewe kwa ibada maalumu katika ukatekumeni ambao ufuate maagizo mbalimbali ya sheria za Kanisa [1].
Madhehebu mengine ya Ukristo, kama Waanglikana [2] Walutheri,[3] Wamethodisti,[4] Waorthodoksi, Wakalvini,[5], ingawa si yote, yana utaratibu wa namna hiyo.
|accessdate=
(help)
|url-status=
ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate=
(help)
In order to produce a renewed catechumenal structure for Korean Methodism, adult catechumenal processes as well as baptismal theologies and rites are examined and analyzed from three principal sources: the first five centuries of the Christian church, and especially the mystagogical literature of the fourth century; the Roman Catholic Rite of Christian Initiation of Adults developed after the Second Vatican Council; and the United Methodist Church in the United States, both texts officially authorized by the denomination's General Conference and unofficial materials, among them resources for an adult catechumenate in the Come to the Waters series.
New materials on "the catechumenate model" have been published by Mcnnonites, Roman Catholics, Lutherans, and Methodists (see conference "Welcoming New Christians" on p. 48)Check date values in:
|accessdate=
(help)
![]() |
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ukatekumeni kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |