Mt. Verdiana alivyochorwa.

Verdiana wa Castelfiorentino (pia: Viridiana Attavanti; 1182 - 1242) alikuwa bikira aliyepokewa na Fransisko wa Asizi katika Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko ambaye tangu ujanani hadi uzeeni aliishi amejifungia ndani[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Klementi VII mwaka 1533.

Sikukuu huadhimishwa tarehe 1 Februari[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi

[hariri | hariri chanzo]
  1. [1]
  2. Martyrologium Romanum

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.