Vilnius ni mji mkuu wa Lituanya. Una wakazi 558,165 (mwaka 2009).
Eneo lake ni km² 401.
Mji ulianzishwa 1387.
Makala hii kuhusu maeneo ya Lituanya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Vilnius kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |