Mifano
  • Gari 'gani limeharibika?
  • Nyumba ipi inapangishwa
  • Rafiki yupi unampenda sana

Vivumishi vya kuulizia ni maneno yanayoulizia taarifa inayohusu nomino au kiwakilishi cha nomino.

Mifano

Tazama pia

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vivumishi vya kuuliza kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.