Wahamaji ni watu wasio na makao ya kudumu ama kwa sababu ya kuwa wawindaji-wakusanyaji, ama kwa kuwatimizia mahitaji mifugo yao katika mazingira magumu, ama kwa sababu wanazunguka daima kuuza bidhaa zao.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wahamaji kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |