Wenseslaus I (kwa KichekiVáclav, ˈvaːtslaf[1]; 907 hivi - 28 Septemba935) alikuwa mtawala (kníže)[2] wa Bohemia tangu mwaka 921 hadi alipouawa na watu waliotumwa na mdogo wake, Boleslaus I.
↑Describing the Codex Gigas, a thirteenth-century manuscript from Bohemia in the Swedish National Library in Stockholm, it is stated: "All this bears witness to the outstanding importance of the cult of Vaclav in Bohemia at the time of the Devil's Bible's compilation. Moreover, all three festivals are inscribed in red ink, denoting their superlative degree."
↑Within a few decades of Wenceslas' death four biographies of him were in circulation.The First Slavonic Life (in Old Church Slavonic), the anonymous Crescente fide, the Passio by Gumpold, bishop of Mantua (d. 985), and The Life and Passion of Saint Václav and his Grandmother Saint Ludmilla by Kristian.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.