Baadhi ya lugha hizi zina wasemaji mamilioni kama vile Kiswahili, Kihausa, Kiigbo, au Kiyoruba.
Lugha nyingine zina wasemaji wachache sana hata zinaelekea kupotea.
Maliasili ya Afrika ·Orodha ya nchi za Afrika kwa GDP· Orodha ya nchi za Afrika kwa HDI · Benki kuu · Sarafu ·Masoko ya hisa· Miundombinu · Nishati mbadala · Wavuti · Afya · Ufukara Afrika
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Afrika kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.