Lugha za Kikushi ni kati ya lugha za Kiafrika-Kiasia. Zinatumika hasa katika Pembe la Afrika na nchi za jirani, kuanzia Misri na Sudan hadi Kenya na Tanzania, lakini zamani zilitumika katika maeneo makubwa kuliko leo.
Jina linatokana na Kush, mtu wa Biblia anayetajwa kama babu wa makabila ya aina hiyo.
Leo lugha kubwa zaidi katika kundi hilo ni Kioromo (35,000,000), kikifuatwa na Kisomali (18,000,000). Baadhi yake zimeshakufa.
|doi-access=
ignored (help)
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kikushi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |