Ramani ya beseni la mto Sobat.

Mto Gebba (pia: Geba) unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia (Jimbo la Oromia).

Ni tawimto la mto Baro ambao unaungana na mto Pibor kuunda mto Sobat, tawimto la Nile Nyeupe.

Tazama pia

Tanbihi