Ramani ya beseni la mto Atbara.
Ramani ya beseni la mto Atbara.

Mto Zarima unapatikana kaskazini mwa Ethiopia, ukichangiwa na mto Dukoko.

Ni tawimto la mto Tekeze ambao unaungana na mto Atbarah kuelekea Nile.

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Zarima kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.