Theodoriki Mkuu.
Dola la Theodoriki mwaka 523: rangi nyekundu inaonyesha maeneo aliyoyatawala mwenyewe, ile ya pink maeneo yaliyokuwa chini ya himaya yake.

Theodoriki Mkuu (454 - 30 Agosti 526) alikuwa mfalme wa Waostrogoti kuanzia mwaka 474. Ndiye aliyewaongoza kuteka Italia na kufikia mwaka 523 alitawala hadi Bahari ya Atlantiki.

Tanbihi

Vyanzo

Marejeo mengine

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Theoderic the Great