Waoromo ni kabila kubwa la watu (35,000,000) wa jamii ya Wakushi wanaoishi nchini Ethiopia, lakini pia Kenya na Somalia.
Lugha yao ni Kioromo, kubwa kuliko zote kati ya lugha za Kikushi.
|df=
ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate=
(help)![]() |
Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Waoromo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |