Ziwa Ambussel kutoka angani.

Ziwa Ambussel ni ziwa dogo nchini Tanzania. Liko upande wa kaskazini-mashariki.

Linapatikana katika mkoa wa Manyara.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Tanbihi