Ziwa Chala mpakani mwa Kenya na Tanzania.
Picha kutoka juu.

Ziwa Chala (pia: Dschalla,[1]) ni moja kati ya maziwa ya Tanzania na ya Kenya.

Limepatikana katika kaldera ya volkeno[2].

3°19′S 37°41′E / 3.317°S 37.683°E / -3.317; 37.683

Tazama pia

Tanbihi

  1. (1 June 1988) Flora of Tropical East Africa - Euphorbiac v2 (1988). CRC Press, 425. ISBN 978-90-6191-338-2. 
  2. Tanzania » Places Of Interest » Lake Chala. go2africa.com. Iliwekwa mnamo 12 June 2010.

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Ziwa Chala