Eneo la Walango nchini Uganda.
Chifu wa Kilango mwaka 1902.

Walango ni kabila la Waniloti wanaoishi kaskazini mwa Uganda (Wilaya ya Amolatar, Wilaya ya Alebtong, Wilaya ya Apac, Wilaya ya Dokolo, Wilaya ya Kole, Wilaya ya Lira, Wilaya ya Oyam na Wilaya ya Otuke).

Wanakadiriwa kuwa 2,628,000 hivi.

Lugha ya wengi wao ni Kilango (Leb-Lango), mojawapo kati ya lugha za Kiniloti.

Tanbihi

Vyanzo

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Walango kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.