Waoporom walikuwa kabila la watu walioenea katika Kenya na Uganda ya leo kabla ya kuzidiwa na wavamizi wa makabila ya Kibantu, Kiniloti na mengineyo. Polepole walijichanganya nao hata kupotewa na lugha na utambulisho wao.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Waoropom kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |