Wamasaba (kwa Kimasaba: Bamasaaba) ni kabila la Kibantu linaloishi mashariki mwa Uganda, katika wilaya za Sironko, Manafwa, Bududa, Mbale na Bulambuli.
Wanahusiana sana na Wabukusu[1] na Waluhya wa Kenya magharibi.
Wanakadiriwa kuwa 2,700,000.
Wengi wao ni wakulima wanaozalisha hasa mtama, mahindi na ndizi.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wamasaba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |