Kavala (kwa Kigiriki Καβάλα, Kavála; zamani Neapolis) ni mji wenye bandari katika Makedonia ya mashariki. Wakazi wake ni 54,027 (2011).

Mandhari ya kiini cha mji na bandari yake

Katika Biblia

Kadiri ya Agano Jipya, mwaka 49 au 50 mji ulitembelewa na Mtume Paulo kutokana na njozi aliyoipata ikiwa na himizo la kuingia Ulaya ili kuwaletea Injili Wamakedonia (Mdo 16:9-10). Ilikuwa mara ya kwanza kwake kufika Ulaya bara.

Matendo ya Mitume 16:11 kinasimulia hivi: "Basi tukang’oa nanga kutoka Troa, tukafika Samothrake kwa tanga moja, na siku ya pili tukafika Neapoli".

Marejeo

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Kavala
Makala hii kuhusu maeneo ya Ugiriki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kavala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.