Hekalu la Athena huko Asso; kushoto kwake kinaonekana kisiwa cha Lesbo.

Asso (kwa Kigiriki: Ἄσσος, Assos) ni mji wa Uturuki, kaskazini magharibi mwa rasi ya Anatolia.

Mwaka 58 Mtume Paulo, katika safari yake ya tatu ya kimisionari, aliabiri kutoka huko akielekea Yerusalemu[1].

Tanbihi

  1. Mdo 20:14 And when he met us at Assos, we took him on board and came to Mitylene. 15 We sailed from there, and the next day came opposite Chios. The following day we arrived at Samos and stayed at Trogyllium. The next day we came to Miletus. 16 For Paul had decided to sail past Ephesus, so that he would not have to spend time in Asia; for he was hurrying to be at Jerusalem, if possible, on the Day of Pentecost.

Marejeo

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Asso
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Asso kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.