Nea Moni.

Kios (kwa Kigiriki: Χίος, Khíos) ni kisiwa cha Ugiriki katika Bahari ya Aegean.

Kina wakazi 51,930 (2011) wanaotegemea zaidi uvuvi na utalii.

Monasteri ya Nea Moni (karne ya 11) imeorodheshwa na UNESCO kati ya mahali pa Urithi wa Dunia.

Kinatajwa na Biblia ya Kikristo kwa kuwa mwaka 58 Mtume Paulo, katika safari yake ya tatu ya kimisionari, aliabiri kutoka Lesbo hadi Samos akipitia huko (Matendo ya Mitume 20:15).

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Kios
Makala hii kuhusu maeneo ya Ugiriki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kios kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.