Lesbo (kwa Kigiriki: Λέσβος, Lésvos) ni kisiwa cha Ugiriki katika Bahari ya Aegean chenye eneo la Km² 1,633.
Kina wakazi 86,436 (2011) wanaotegemea zaidi uvuvi na utalii. Makao makuu yako Mutilene.
Mwaka 58 Mtume Paulo, katika safari yake ya tatu ya kimisionari, aliabiri kutoka huko hadi Samos akielekea Yerusalemu[1].
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ugiriki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Lesbo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |