Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!
Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.
Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.
Kwa mawili matatu labda tazama:
Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.
Ujue miiko:
Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!
Welcome to Kiswahili Wikipedia!
We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:
As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.
--Mr Accountable (majadiliano) 09:30, 25 Novemba 2009 (UTC)
Ndugu Abbas. Nimependa sana makala yako husika hapo juu. Umeindika vizuri kabisa. Ila, ningependa kukushauri kitu kimoja. Usipendelee sana kuacha vile vigezo au template za Wikipedia ya Kiingereza - kwani huleta alama mbaya na uchafu makalani. Je, hii lugha ya kuita vigezo au template unaielewa? Ukiwa huambui kitu, basi vigezo huwa na alama za ((hapa lina kaa jina la kigzo)). Yaani, nimemaanisha hayo mabano uyaonayo hapo juu. Ni afadhali ufute tu hayo mabano. Kingine siyo lazima kutafsiri jamii au category zote za Wikipedia ya Kiingereza. Katika ile ya juu, ungeweza kuweka hata neno Duai tu lingetosha! Ukiwa una swali, basi uliza na utajibiwa! Nikiwa ninatokea Dar es Salaa, Tanzania, niite Muddyb au,-- MwanaharakatiLonga 08:03, 19 Desemba 2009 (UTC)
Airkenya Express ni aina ya ndege iliyo na makao mjini Nairobi, Kenya. Airkenya husafirisha watu kote nchini Kenya na hata pia hadiTanzania. Makao yake makuu ni katika Uwanja wa ndege wa Wilson, Nairobi.
“ | Airkenya Express ni aina ya ndege iliyo na makao makuu yake mjini Nairobi, Kenya. Airkenya husafirisha watu kote nchini Kenya na hata pia hadiTanzania. Makao yake makuu ni katika Uwanja wa ndege wa Wilson huko mjini Nairobi. | ” |
Shukran sana kwa pongezi yako. Nimejaribu kufanya marekebisho uliyoniambia, kadri ya uwezo wangu. I'm still new in Wikipedia(that's why it took me ages to reply you), coz I'm kinda having unnecessary technical mishaps here and there. Yours, Abbas Mahmoud
Salaaa! Ndugu, umepandishia makala ya In_My_Own_Words - ilhali toka awali ilikuwepo. Makala yako haikuweza kuipiku ile ya kwanza. Hivyo, nimerejesha toleo awali:
--MwanaharakatiLonga 15:07, 9 Januari 2010 (UTC)
I'm sorry I did not know that the article did exist. I hope that this will not happen in the future.
I am, yours, Abbas Mahmoud
Salam, Abbas. Umeona kwamba nimesahihisha vitu viwili-vitatu kwenye makala hiyo hapo juu? Umepiga hatua sana. Sasa ninapendekezo moja. Unaonaje tukishirikiana katika kuanzisha na kuendeleza makala hizi za muziki? Ninaomba hili kwa sababu muziki ndiyo kitu nikipendacho (na hata majedwali hayo nilianzisha mimi) hivyo jinsi ya kutumia ni rahisi lakini tukisaidiana itakuwa poa zaidi. Katika makala hiyo, nitaanzisha makala moja ya single zilizopo mule, halafu wewe utakuwa unafuata mwongozo kutoka kwa makala niliyoianzisha! Juu hayo, kuna haya:
3. Pia ni lazima kuweka anwani ya picha ulioichukua kutoka en:wiki, yaani, hivi
http://en.wikipedia.org/wiki/File:Enriqueinsomniac.jpg
Na hiyo hukaa mahali pa muhtasari, ndugu. Ukitaka kuona nini nimefanya kwenye picha ya albamu ya Insomniac, basi tazama hapa! Naomba jibu tafadhali na usikae kimya. Wako,--MwanaharakatiLonga 06:58, 11 Januari 2010 (UTC)
Salam sana. just tell me which articles you want me to focus on, n I'll try doing them. Thanks for the correction, by the way.
P.S. i might take a little bit longer to assist you in creating those articles since I've resumed school. Sorry for any inconveniences.
Sincerely Abbas Mahmoud
Hi, thanks for uploading pictures to the Wikipedia. Please see Msaada:Picha; it is important that pictures have copyright permissions and categories (for instance "Jamii:Makava ya albamu"). Thanks again. --Mr Accountable (majadiliano) 15:06, 11 Januari 2010 (UTC)
Salam, Abbas! I strongly advise you to use "hatimiliki" in each and evey albums/singles images. I've seen a lots images which uploaded by you and all of them has no any kind of licensing information. It is necessary to add all those stuffs for the project. It is a normal to follow all the procedures, bro. Try to see what I did for the millenium album cover! It's quite necessary. Recently, I've seen Mr. Accountable wrote to you the same message. Hope you gonna do as what we said! Cheers.--MwanaharakatiLonga 12:15, 15 Januari 2010 (UTC)
Thank you for sending me the detailed procedure. I will take heed of that.
Hello, Abbas! I've already change the mark as you asked. It's true the mark wasn't the right one. Hope it's fine now. Cheers.--MwanaharakatiLonga 09:01, 24 Januari 2010 (UTC)
Hello, Shukran sana, Muddyb. I really appreciate what you've done. It has really encouraged me to submit more articles for the challenge. Thanks once again, since those points are really critical at this time since the challenge is coming to an end this week.
Yours, Abbas Mahmoud
Salam, Abbas. Eti, unaweza kuandika wahusika wa mfululizo huo wa Lost? Yaani, kama jinsi nilivyofanya kwa Daniel Faraday! Huyo ni mmoja kati ya washiriki wa mfululizo huo! Cha kufanya: kila ukiandika makala fupi au ndefu ya muhusika, basi ni lazima kuandika makala nyingine ya jina la mwigizaji. Yaani, ukisema uhusika umechezwa na... Basi lazima makala yake iwepo ili kuleta maana zaidi. Upo tayari kwa hili?--MwanaharakatiLonga 12:01, 25 Januari 2010 (UTC)
Salaam, Abbas! Hongera kwa kuanzisha makala za baadhi ya filamu, nasema tena hongera! Lakini pia kuna matumizi ya masanduku ambayo sio sahihi katika makala hizo. Utumiaji huo ni pamoja na kuweka sanduku la habari la "Infobox Television" kwenye makala za filamu. Hii si sahihi. Sanduku la television ni kwa ajili ya TV series tu, basi. Mengineyo, halitumiki! Ikiwa unataka kutumia masanduku ya filamu ni afadhali utumie sanduku lake kwa sababu lipo. Tazama makala ya Mr. & Mrs. Smith - utaona jinsi nilivyoifanya. Nimeiwekea hatimiliki yake ya picha, sanduku la habari halisi, na masawazisho kadhaa ndani yake. Basi ni hayo tu!!!--MwanaharakatiLonga 11:41, 28 Januari 2010 (UTC)
Ndugu Abbas, salaam! Wakati wa shindano, makala nyingi zimeanzishwa bila kuwekewa yaliyomo hata kidogo, nasi wanawikipedia hatukuwa na nafasi ya kurekebisha sana. Kwa hiyo sasa, naomba tusaidiane kusawazisha hizo makala. Kwa mfano, ungeweza kuanza kwa kuangalia orodha ya makala bila jamii. Bila shaka utagundua kadhaa ambazo ni duni, labda yenye maneno mawili matatu tu. Ndivyo nilivyogundua k.m. na makala ya Henri Fayol, mhandisi Mfaransa wa karne ya 19. Sasa ukiangalia mabadiliko niliyoyaingiza utapata mambo ya msingi ya wikipedia. K.m. naingiza kigezo cha ((DEFAULTSORT)) kwa ajili ya orodha ya makala katika jamii ifuate alfabeti vizuri. Tena naingiza jamii za miaka ya kuzaliwa (k.m. [[Jamii:Waliozaliwa 1841]]) na ya kufariki (k.m. [[Jamii:Waliofariki 1925]]). Pia, ikiwa ni makala fupi bila maelezo mengi, naingiza kigezo cha ((mbegu-mtu)) (yaani kama ni mtu). Hatimaye, naingiza kiungo kwa wikipedia ya Kiingereza (k.m. [[en:Henri Fayol]]) ambapo naweza kupata code kwa picha ya mtu (k.m. [[Image:Fonds henri fayol.jpg|thumb|right|Henri Fayol]]) pamoja na habari nyingine. Nitashukuru kwa msaada wako katika kuboresha makala mpya zilizoachwa duni. Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 10:59, 2 Februari 2010 (UTC)
--Abbasjnr (majadiliano) 07:27, 26 Machi 2010 (UTC)
Salam, Abbas! Nimeingilia kati mazungumzo yako baina ya wewe na Sj. Sababu zilizopelekea kuingilia kati mazungumzo haya, ni pamoja na kwamba Sj uonekano wake hapa SWWP ni mdogo sana. Hivyo ninaweza kusema tu, pakia tu hizo picha ikiwa ni zako. Pia nitakusaidia kuiwekea label ya hatimili - halafu baadaye kuipakia katika Wikimedia Commons. Kwa mtu mgeni kupakia picha commons ni tabu sana, lakini hapa si tabu kabisaaa. Hivyo jimwage tu halafu tuangalie itakuwaje! Wako,--MwanaharakatiLonga 09:40, 26 Machi 2010 (UTC)
--Abbasjnr (majadiliano) 09:30, 30 Machi 2010 (UTC)
Salam, Abbas! Nimeingilia kati ukurasa wako wa mtuamiaji ili niweze kufanya usaidizi wa picha. Picha yako ilikuwa ikionekana kubwa sana - kiasi kwamba isingeweza kufunguka haraka kwa ukubwa ule! Kumradhi, kaka. Wako,--MwanaharakatiLonga 07:20, 8 Aprili 2010 (UTC)
Salam sorry this is the only thing I'm able to write in Swahili for now. I apologize sincerely for this intrusion and for not being able to speak nor understand your language. My name is Claudi Balaguer, I am a member of a Catalan association "Amical de la Viquipèdia" which is trying to become a Chapter but has seen this rejected because it doesn't belong to a/one state! I thought you could help me begin a support campaign here just as I've already done in other Wikipedias. The first favor I beg from you would be to translate the following template to Swahili (you can translate where you please, you can keep the Catalan part or the English one, as you wish or deem more appropriate!) and also the sentence: "Wikipedians giving support to Wikimedia CAT". Thanks again for your help. I wish you a pleasant and sunny summertime. I hope that you will succeed in obtaining a Kenyan Chapter soon! Take care, have a good night! Capsot (majadiliano) 22:01, 16 Agosti 2010 (UTC)
Dono suport al chapter Wikimedia CAT. I vós? Si us plau, signeu en senyal de suport. I support the Wikimedia CAT chapter. Don't you? Please, give us your support and/or sign following the link on the template. |
Don't you? Please, give us your support and/or sign following the link on the template." translates into "Mimi ni shabiki wa Wikimedia CAT. Je wewe? Tafadhali jiunge na sisi kwa kufuata tovuti hii". Well, that's the best translation I could give you, although I must admit it's not verbatim. Thanks, and don't hesitate to ask for anything next time:-) Take care. --Abbasjnr (majadiliano) 10:49, 17 Agosti 2010 (UTC)
I don't think the hard-working contributors are praised enough, so here is a barnstar for your great work with promoting Wikimedia in Kenya! :-) Jon Harald Søby (majadiliano) 13:41, 16 Novemba 2010 (UTC)
Do you do photo requests?
I would like for someone to photograph the Kenya Airways head office on Airport Road North in Embakasi, Nairobi.
I would greatly appreciate it if someone could post a photo of the head office
Thanks, WhisperToMe (majadiliano) 02:22, 30 Desemba 2010 (UTC)
Lakini sifanya kama zamani, kaka.. Au? Si mbaya. Ahsante kwa pongezi lakini. Kila la kheri Abbas!--MwanaharakatiLonga 06:33, 7 Januari 2013 (UTC)
Hey!
This is a friendly reminder that the sign-up page at the Medical Translation Project (previously Translation Task force) has been updated. This means everyone has to sign up again. Using the new page it will be easier for us to get into contact with you when there is work available. Please check out our progress pages now! There might be work there already for you.
We are also very proud to introduce new roles and guides which allows people to help who don't have medical knowledge too!
Please use the sign up page, and thank you guys for all the work you've been doing. The translation project wouldn't be possible without you!
-- CFCF 🍌 (email) 13:09, 24 September 2014 (UTC)
Hi! I'm trying to find Swahili speakers to help with the Global Learning XPRIZE (a kind of Wikipedia for eLearning project). If you or anyone you know might be interested, please contact me on xprizeakl@gmail.com Jg1141 (majadiliano) 11:06, 5 Mei 2015 (UTC)
Salaam Abbasjnr naona umerudi kwa nguvu, nafurahi kukuona! Hujambo? Kipala (majadiliano) 08:09, 22 Septemba 2015 (UTC)
Hi! I notice you made the Swahili article on the International School of Kenya. Have you considered making Swahili articles on the en:German School Nairobi, en:Japanese School of Nairobi, or the en:Lycee Denis Diderot (Kenya) (French school)? WhisperToMe (majadiliano) 23:26, 12 Septemba 2016 (UTC)
Mpendwa Abbas, salaam!
Baada ya salaam
Nikupe pole na shughuli za hapa na pale.
Ninaomba uniandikie makala hii: https://en.wikipedia.org/wiki/Sanaipei_Tande yote kama ilivyo kwa Kiswahili. Huyu dada katokea kunivutia sana. Ninaitaka ije kwenye Kiswahili. Ukiona muda wako haba, tafadhali usisite kunijulisha. Nitaindika tu! Please!--MwanaharakatiLonga 05:24, 9 Septemba 2017 (UTC)
Ndugu asante sana kwa makala zako kuhusu maraisi wa Marekani. Ni kweli unajaza pengo kwenye kurasa zetu. Safi sana! Hii inakuja pamoja na ombi: anza kuingiza marejeo na vyanzo. Si vigumu sana maana bila shaka utatumia makala za enwiki na hapo marejeo na vyanzo hutajwa. ilhali wasomaji wetu wanaelewa Kiingereza si kitu kikubwa kuteua matini ya tanbihi kutoka enwiki na kuzinakili katika makala zako.
Kwa kweli tulipoanza hatujaangalia sana swali la vyanzo kwa hiyo kuna makala nyingi (hata zangu) zisizo na marejeo. Lakini siku hizi tunakazia sana vyanzo. Naomba uingize, ukiwa na nafasi hata kwa makala ulizoweka tayari. Marejeo yatao geza ubora wa makala zako! Kipala (majadiliano) 08:00, 15 Januari 2019 (UTC)
Please help translate to your language
Africa has many beautiful festivals, ceremonies and celebrations of love and we need your help to document these! They are the core part of African culture and in order to make sure this way of life followed by our ancestors remain among us, we need to have them online to make sure they are preserved. Join hands with Wiki Loves Love that aims to document and spread how love is expressed in all cultures via different rituals, celebrations and festivals and have a chance to win exciting prizes!! While uploading, please add your country code in the Wikimedia Commons upload wizard. If you want to organize an on-site Wiki Loves Love event, then contact our international team! For more information, check out our project page on Wikimedia Commons.
There are several prizes to grab. Hope to see you spreading love this February with Wiki Loves Love!
Imagine...The sum of all love!
Wiki Loves Love team 07:34, 4 Februari 2019 (UTC)
Ndugu, asante sana kwa michango yako kuhusu Marais na waigizaji wa Marekani, ila naomba uangalie ninavyorekebisha makala zako, kwa sababu kila mara nalazimika kufanya yaleyale, kumbe ungeweza kufanya mwenyewe. Amani kwako. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:14, 27 Machi 2019 (UTC)
Tfadhali angalia na changia hapa https://sw.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Jumuia#Jenga_Wikipedia_ya_Kiswahili_-_mkutano_Berlin_na_mawazo_kuhusu_Wikimedia_2030_strategy Kipala (majadiliano) 13:09, 17 Desemba 2019 (UTC)