Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!
Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.
Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.
Kwa mawili matatu labda tazama:
Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.
Ujue miiko:
Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!
Welcome to Kiswahili Wikipedia!
We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:
As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.
Ndugu, naomba kujua tofauti kati ya Hip Hop ya Bongo na Hip Hop ya Tanzania. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:46, 5 Juni 2022 (UTC)
Ndugu, kwema?
Naona nimepata mshirika kwenye uga wa hip hop ya Tanzania. Ni furaha yangu kuona makala za namna hiyo zinaboreshwa na kuongezeka pia. Sehemu kubwa ya matini ya Dizasta Vina ni nakala ya Nash MC. Kimsingi, tunahitaji makala nyingi zaidi lakini si za kufanana.
Pamoja sana mkuu! Muddyb Mwanaharakati Longa 05:35, 25 Juni 2022 (UTC)
Nimefurahi kuona makala nzuri kuhusu TBC. Si kawaida kumpata mchangiaji mpya anayetunga makala ambayo ni safi kimaudhui na kiumbo. Hongera, tafadhali endelea! Kipala (majadiliano) 10:27, 1 Julai 2022 (UTC)
Ndugu, ilianza vema kutunga jamii kwa kutumia kampuni kama jina la wingi badala ya makampuni. Usirudi nyuma kwa kuweka makampuni. Kinyume chake, tunapaswa kubadilisha jamii zote ambazo zinataja makampuni tuweke kampuni tu. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:23, 18 Agosti 2022 (UTC)
Benix Mby (majadiliano) 09:36, 18 Agosti 2022 (UTC)
@Benix Mby hujambo, Tafadhali unaweza kuunda kurasa hizi kwa watengenezaji hawa wa magari kwa Kiswahili Wikipedia:
Ningewashukuru sana kama mtawaumba kwa vile sijui Kiswahili na ninatumia mfasiriRHAXHIJA (majadiliano) 20:42, 21 Agosti 2022 (UTC)
@Benix Mby Je, unaweza kuziunda tafadhali?
@Benix Mby bado haujaunda nakala hizi kwa watengenezaji hawa wa magari
Benix naona ulitambua kwamba Upigaji risasi wa wingi ilikuwa tafsiri ya komyuta. Ombi langu: ukiona kwamba kasoro za makala ni nzito, uipendekeze kwenye orodha ya makala kwa ufutaji. Njia rahisi ni kutumia kigezo ((futa)) halafu bofya kiungo na kuandikisha makala huko. Ukiona mada inafaa (lakini huna muda kuisahihisha mwenyewe) unaweza kuandika: "Kasoro nzito, iboreshwe au kufutwa". Kipala (majadiliano) 21:54, 7 Septemba 2022 (UTC)