Ndugu, hakuna haja ya kuunga kurasa zetu na List of 3,800 rivers of Kenya kwa sababu hiyo imechukuliwa moja kwa moja kutoka Orodha ya Wikipedia ya Kiswahili: Mito ya Kenya. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:49, 14 Februari 2020 (UTC)
Habari ndugu Mwanawikipedia!
Mimi ni mwezeshaji wa mradi uitwao Mwongozo Wa Kimataifa Wa Mwenendo Na Maadili. Ni mradi mchanga/mpya ambao Shirika la Wikimedia Foundation linanuia kuuanzisha endapo wadau wataona ni mradi unaofaa. Nakukaribisha usome mwongozo huo na kisha utoe maoni yako kwa kujibu maswali yote au baadhi yake kwa yale utakayopenda kuyatolea maoni HAPA
Taarifa zaidi kuhusu Mwongozo wa Kimataifa wa Nidhamu na Mwenendo
Shirika la Wikimedia Foundation lina mpango wa kuanzisha Mwongozo Wa Kimataifa Wa Mwenendo Na Maadili. Lengo la mwongozo huo ni kujaribu kuainisha vitu vya msingi vinavyopatikana katika miongozo midogo midogo iliyopo tayari katika kila jamii husika (mfano Jumuiya yetu hii ya wahariri wa Wikipedia ya Kiswahili). Lengo hasa la mwongozo huu ni kutengeneza mazingira ambayo wanawikipedia wote duniani watakuwa na uelewa wa pamoja juu ya vitu vya msingi kuhusu nini kinakubalika na kipi hakikubaliki wakati wa uchangiaji (uhariri) wa Wikipedia na pale wanawikipedia wanapowasiliana kwenye Wikipedia au ana kwa ana katika warsha na mikutano ya Wanawikipedia. Wazo hilo limekuja baada kukithiri kwa baadhi ya Wanawikimedia kukumbana kufanyiwa unyanyasaji wa kitabia (mfano matusi, kuitana majina yasiyofaa, kutishiana n.k) na Wanawikimedia wenzao, hivyo kuwakatisha tamaa ya kuendelea kuchangia katika miradi ya Wikimedia.Hivyo, wewe kama mdau muhimu katika miradi ya Wikimedia Foundation, unakaribishwa ku soma zaidi kuhusu mwongozo huo Hapana baada ya kuusoma mwongozo huo unaweza ku toa maoni yako Hapa kabla ya tar 15 April 2020.
Mwaliko wa kujiunga na kundi la Wahariri wa Wikipedia
Nakukaribisha ujiunge na kundi la Wahariri wa Wikipedia kutoka Dar es Salaam ili tuweze kujadiliana na kubadilishana uzoefu na mambo kadha wa kadha kuhusu Uhariri wa Wikipedia. Iwapo utapenda kujiunga, usisite kuwasiliana nasi kupitia wikitzagroup@gmail.com, na kwa taarifa zaidi kuhusu kundi la Wahariri wa Wikipedia wa hapa Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla na miradi waliyoitekeleza tayari, unaweza tembelea hapa ukurasa wao wa meta uitwao Wikimedia Community User Group Tanzania au pia katika Facebook kwa jila la Wikimedia Tanzania.
Ndimi AMtavangu (WMF) (majadiliano) 17:09, 5 Aprili 2020 (UTC)
Hapana haupaswi kuhamasishwa. Lakini, tukiangalia makala zilizotolewa kutafasiliwa hawa wote niliowaandika hawakuwa katika kundi la mashonga. Wakati nafanya tafasili ndo nimekuwa nikikutana na habari za ushoga. Nadhani kuna haja ya waandaaji kuwa wanaangalia kiundanj hizi makala wanazotoa tutafasili. Amani kwako pia ndugu MagoTech Tanzania 06:42, 28 Machi 2021 (UTC)
Asante kwa michango yako. Lakini nimeona mifano ambako ulisahau interwiki, pia umeweka pekee jamii ya mwaka wa kuzaliwa. Ambayo haisaidii sana. Naomba urudie kupitilia zote na kuangalia interwiki pamoja na jamii. Kuhusu interwiki tazama Msaada:Interwiki.
Kuhusu jamii: jamii ya mwaka pekee haisaidii sana. Angalau umpange kila mmoja kwa kuandika chini ya makala Jamii:Wanawake wa NCHI HUSIKA (katika mabano mraba yaani [[Jamii:Wanawake wa Wanawake wa NCHI HUSIKA]]). Ukiweza kuelewa Mfumo wa Jamii heri kuunda jamii zinazotaja kazi ya wahusika; lakini hapo unahitaji kuunganisha jamii mpya na jamii za juu. Ukiwa na swali, uliza! Kipala (majadiliano) 21:41, 29 Machi 2021 (UTC)
Napenda kukupongeza kwa juhudi zako katika Wikipedia, ila hakikisha kwamba makala zieleweke kwa Kiswahili. Unavyojua, tafsiri ya kompyuta haisaidii sana. Endelea kuangalia kama pengine ninarekebisha michango yako ili uzidi kukomaa. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:28, 16 Aprili 2021 (UTC)
Ndugu, naona uliona vema kumpongeza Zabron'sPedia kwa kazi yake. Hali halisi nimepitilia makala mbili ambazo zilikuwa makala mabaya. Anajua kutumia vvyanzo kutoka enwiki, lakini anapakua lugha mbaya kasia, sioni faida ya kuongeza makala za aina hiyo akimwaga google translate bila kuisoma. Naomba sana pitilia makala zake uondoe maudhui ambayo hayaeleweki. Pia hatumii interweiki hana viungo vya ndani. Kipala (majadiliano) 19:52, 24 Juni 2021 (UTC)
Naomba ntazipitia makala zake upya MagoTech Tanzania (majadiliano) 20:07, 24 Juni 2021 (UTC)
Karibu tena baada ya kimya kirefu. Angalia nilivyorekebisha makala zako. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:11, 1 Novemba 2021 (UTC)
Dear Organizers,
Congratulations on successfully organizing Feminism and Folklore 2022 on your local Wikipedia language. Here are few things that you need to look around during the contest.Make sure that all submissions follow the set of rules as mentioned below and are related to the theme of the project.
Please refer to the set of rules and guidelines from here. During the contest if you face any issue or have queries regarding the project please feel free to reach out on Contact Us page. Feminism and Folklore team will be assisting you throughout the contest duration. We thank you for your numerous efforts which you have put in for making this project successful.
Best wishes
MediaWiki message delivery (majadiliano) 05:52, 12 Februari 2022 (UTC)
Feminism and Folklore 2022 which is an international writing contest organized at Wikipedia ends soon that is on 31 March 2022 11:59 UTC. This is the last chance of the year to write about feminism, women biographies and gender-focused topics such as folk festivals, folk dances, folk music, folk activities, folk games, folk cuisine, folk wear, fairy tales, folk plays, folk arts, folk religion, mythology, folk artists, folk dancers, folk singers, folk musicians, folk game athletes, women in mythology, women warriors in folklore, witches and witch hunting, fairy tales and more
Keep an eye on the project page for declaration of Winners.
We look forward for your immense co-operation.
Thanks Wiki Loves Folklore international Team MediaWiki message delivery (majadiliano) 14:28, 26 Machi 2022 (UTC)
Dear Magotech,
Feminism and Folklore 2022 writing competition has ended. We thank you for organizing it on your local Wikipedia and help in document folk cultures and women in folklore in different regions of the world on Wikipedia. What's next?
Feel free to contact us via mail or talkpage if you need any help, clarification or assistance.
Thanks and regards
International Team
Feminism and Folklore
--MediaWiki message delivery (majadiliano) 16:19, 6 Aprili 2022 (UTC)
Dear Organiser/Jury
Thank you so much for your enormous contribution during the Feminism and Folklore 2022 writing competition. We appreciate your time and efforts throughout the competition to bridge cultural and gender gap on Wikipedia. We are sending you a special postcard as a token of our appreciation and gratitude. Please fill out this form by July 20th 2022 to receive a postcard from us. We look forward to seeing you in 2023 next year.
Stay safe!
Gaurav Gaikwad.
International Team
Feminism and Folklore MediaWiki message delivery (majadiliano) 13:50, 10 Julai 2022 (UTC)
Ndugu, asante kwa kupitia makala yangu hiyo, ila si lazima ukurasa wa Kiswahili ufanane na ule wa Kiingereza! Halafu ni afadhali uongeze habari bila ya kuondoa zilizopo tayari. Pia jitahidi kwanza kuelewa vizuri Kiingereza kwa sababu ulichokuwa umetafsiri hakikuwa na maana ya wazi. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:59, 26 Julai 2022 (UTC)
Habari naona uliweka salamu ya Karibu kwenye ukurasa wa mtumiaji M SQUARE MWINYI. Hatufanyi hivyo, tunatakiwa kutumia ukurasa wake wa majadiliano. Kuandika au kutoandika kwenye ukurasa wa mtumiaji ni juu yake mwenyewe. Kipala (majadiliano) 08:05, 20 Agosti 2022 (UTC)
Habari naona uliweka alama ya "tafsiri kompyuta" kwenye Mitandao ya kijamii isiyojulikana. Ilhali machafuko ya tafsiri za google yamezidi tumeona afadhali kufuta kuliko kuvumilia, kama sisi wenyewe hatuna muda au nia ya kusahihisha makala ili ieleweke vema.
Kwa jumla uone Msaada:Tafsiri_ya_kompyuta. Nitashukuru ukiweza kupeleka makala zisizofaa (yaani tafiri ya kompyuta iliyo dhahiri bila masahihisho ya kutosha) kwenye ukurasa wa ufutaji. Mwingine atakagua na kuamua. Kipala (majadiliano) 11:29, 8 Septemba 2022 (UTC)
Dear Magotech,
Christmas Greetings and a Happy New Year 2023,
You are humbly invited to organize the Feminism and Folklore 2023 writing competition from February 1, 2023, to March 31, 2023. This year, Feminism and Folklore will focus on feminism, women's issues, and gender-focused topics for the project, with a Wiki Loves Folklore gender gap focus and a folk culture theme on Wikipedia.
You can help Wikipedia's coverage of folklore from your area by writing or improving articles about things like folk festivals, folk dances, folk music, women and queer folklore figures, folk game athletes, women in mythology, women warriors in folklore, witches and witch hunting, fairy tales, and more. Users can help create new articles, expand or translate from a list of suggested articles.
Organisers are requested to work on the following action items to sign up their communities for the project:
This year we would be supporting the community's financial aid for Internet and childcare support. This would be provided for the local team including their jury and coordinator team. This support is opt-in and non mandatory. Kindly fill in this Google form and mark a mail to support@wikilovesfolklore.org with the subject line starting as [Stipend] Name or Username/Language. The last date to sign up for internet and childcare aid from our team is 20th of January 2023, We encourage the language coordinators to sign up their community on this link by the 25th of January 2023.
Learn more about the contest and prizes on our project page. Feel free to contact us on our meta talk page or by email us if you need any assistance.
We look forward to your immense coordination.
Thank you and Best wishes,
--MediaWiki message delivery (majadiliano) 10:11, 24 Desemba 2022 (UTC)
Ndugu, nimeona umeanzisha jamii hii baada ya kuondoa kiungo cha jamii hiyo katika makala zako za mwisho. Kwa jumla, naona si muhimu kuzidi kutofautisha jinsia katika jamii za Wikipedia, lakini ukipenda unaweza kujaza jamii hiyo kwakuangalia jamii:Wanaharakati ambamo wengi ni wanawake. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:10, 24 Desemba 2023 (UTC)
Dear Magotech,
Hope you are doing well, Wishing you a Happy New Year!.
We extend a heartfelt invitation to you to organize the Feminism and Folklore 2024 writing competition, which is scheduled to take place from February 1, 2024, to March 31, 2024. This year's edition of Feminism and Folklore will concentrate on feminism, women's issues, and gender-focused topics, aligning with a Wiki Loves Folklore gender gap focus and featuring a folk culture theme on Wikipedia.
This year we have created two new Tools for the Feminism and Folklore project. The tool is called Campwiz. This tool is created by the international Tech team of Wiki Loves Folkore especially crafted for Feminism and Folklore project. The tool works as same as fountain or dashboard but has extra abilities required for jury and submission of articles.
To create a new campaign on Campwiz, organizers to follow these steps:
With this we have also created a Missing article tool. This tool identifies articles in the English Wikipedia that are absent from your native language Wikipedia. You can customize your selection criteria, and our tool will provide you with a table displaying the missing articles along with suggested titles. You also have the option to download the list in both CSV and wikitable formats.
Both tools, the Missing Article Tool and the Campwiz Tool, are now available for public use during the Feminism and Folklore campaign. You can find more information about these tools here: https://tools.wikilovesfolklore.org/
There are also some changes in the rules and criteria's. Please go through the rules below.
Learn more about the contest details and prizes on our project page here. Should you require any assistance, please feel free to contact us on our meta talk page or via email.
We eagerly anticipate your enthusiastic coordination and participation in Feminism and Folklore 2024.
Thank you and Best wishes,
Feminism and Folklore 2024 International Team
--MediaWiki message delivery (majadiliano) 06:51, 18 Januari 2024 (UTC)
Dear Organiser/Jury,
Thank you for your invaluable contribution to the Feminism and Folklore writing competition. As a crucial part of our jury/organising team, we kindly request that you submit the information of the winners on our winners' page. Please ensure this is done by June 7th, 2024. Failure to meet this deadline will result in your wiki being ineligible to receive the local prize for Feminism and Folklore 2024.
If you require additional time due to a high number of articles or need assistance with the jury task, please inform us via email or the project talk page. The International Team of Feminism and Folklore will not be responsible for any missed deadlines.
Thank you for your cooperation.
Best regards,
The International Team of Feminism and Folklore