Kwa jumla ni kilometa mraba 102 wanakoendelea kuishi watu 4,900 baada ya wengi zaidi kuhama kutokana na milipuko ya volkeno iliyotokea kuanzia mwaka1995 baada ya karne kadhaa za utulivu.
Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Montserrat kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.