Mto Sirimon unapatikana katikati ya Kenya. Ni tawimto la mto Ewaso Ng'iro, tawimto la mto Lagh Dera, ambao tena ni tawimto la mto Juba ambao unaishia katika Bahari ya Hindi nchini Somalia.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje