Mto Turasha (pia mto Tulasha au mto Kija) unapatikana nchini Kenya.

Ni tawimto la mto Malewa ambao unaishia katika ziwa Naivasha.

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje